Habari

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Advertise with us here

FACEBOOK TRICKS

NAMNA ya kuandika facebook status or comment ikiwa kama link yenye rangi ya blue..Ni rahisi sana, la kufanya ni:-

Kopi hizi kodi hapa chini na uondoe neno "YOUR STATUS OR COMMENT" na weka au andika maneno yako mwenyewe unayoyapenda.

@@[3:[0:3:YOUR STATUS OR COMMENT]]

KAMA HIYO YA JUU ITAKATAA BASI TUMIA HII YA CHINI

@@[2:[0:2:YOUR STATUS OR COMMENT]]

Bonyeza Enter uone....Done

KUANDIKA EMPTY STATUS / STATUS HEWA:

Ingia kwenye ukurasa wako wa facebook sehemu ya kuandika status than copy hizi code @[0:0: ] paste hapo.




empty-status

Finally click Post utaona empty status kwenye wall yako....

Post a Comment

0 Comments

Youtube Channel Image
Hajiizo Subscribe To watch more
Subscribe