Kuna stori za baadhi ya Viongozi wa Africa kung’ang’ania kukaa
madarakani hata baada ya vipindi vyao vya uongozi kuisha, pia wako ambao
wanaendelea kuongoza kihalali kutokana na mabadiliko ambayo wameyafanya
kwenye Katiba ili waendelee kuongoza !!
IFAHAMU LIST YA MARAISI 10 WENYE UMRI MREFU:
1. Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ana miaka 91, ndiye Rais mzee kuliko wote, ameshinda urais kwa muhula wa saba
2. Beji Caid Essebsi-Ana miaka 88, amekua Rais wa Tunisia tangu Desemba 31 2014
3. Rais Paul Biya wa Cameroon ana miaka 82, ameingia madarakani tangu mwaka 1982
4. AbdelAziz Boeteflika ni Rais wa Algeria toka April 1999, ana miaka 78
5. Rais wa Guinea Alpha Conde ana miaka 77, amekua madarakani tangu December 2010
6. Rais wa visiwa vya Sao Tome, Manuel Pinto da Costa ana miaka 77, aliingia madarakani tangu mwaka 2011
7. Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ana miaka 76, aliingia madarakani tangu Januari 2006
8. Rais wa Malawi, Peter Mutharika ana miaka 74, aliingia madarakani May 2014
9. Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara ana miaka 73, aliingia madarakani tangu mwaka 2011
10. Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ana miaka 73, aliingia madarakani tangu May 9, 2009
0 Comments