KUNA wanawake wanapofanya
mapenzi husikia maumivu, hakika husumbuliwa sana. Mwanamke anaweza
kukosa furaha na matokeo yake kuumia wakati tendo linapoanza pale
mwanzoni, ukeni au ndani zaidi na huwa ya aina mbili. Kwanza ni maumivu
wakati wa tendo la ndoa kama tulivyofafanua hapo juu na pili ni baada ya
kufanya mapenzi.
Yale maumivu anayopata mwanamke wakati
wa tendo hutokea pale mwanamke anapoanza kukutana kimwili na mwanaume na
mara nyingi hutokana na uke kuwa mkavu.
Hii inaweza kusababishwa na maandalizi
hafifu kabla ya tendo lenyewe na matatizo katika mfumo wa homoni au
kupoteza msisimko wa hamu ya tendo hilo. Wataalam hugundua kuwa mara
nyingine husababishwa na misuli ya uke kubana ingawa tatizo hili zaidi
ni la kisaikolojia kutokana na mwanamke kuwa na woga wakati wa tendo
kutokana na kumbukumbu mbaya za nyuma.
Kwa wale wanawake waliokeketwa huweza
kukumbwa na maumivu wakati wa tendo hili kutokana na kuwa na makovu
ukeni baada ya vidonda kupona kutokana na athari za kukeketwa.
Uwepo wa michubuko na vidonda au
maambukizi ukeni mfano kama fangasi za muda mrefu na maambukizi mengine
hasa magonjwa ya ngono nayo husababisha mwanamke kusikia maumivu wakati
wa tendo la ndoa.
Uvimbe ukeni au uwepo wa jipu na vipele,
kuumia kwa kufanyiwa vipimo au baada ya kuzaa kwa njia ya kawaida
endapo hukupona vizuri pia huchangia.
Nitataja sababu hizo kwa maelezo mafupi.
Kukakamaa kwa misuli ya uke (Vaginismus): Hali hii inasababishwa na
mkazo katika misuli ya uke inayotakana na hofu ya maumivu au majeraha.
Matatizo ya shingo ya kizazi: Wakati
mwingine uume unaweza kuingia ndani zaidi hivyo kugusa shingo ya kizazi
na kusababisha maumivu. Matatizo katika mfuko wa uzazi kama ya Fibroids
yanaweza pia kuwa sababu ya maumivu wakati wa ngono.
Maambukizi ya uke: Aina yoyote ya
maambukizi ya uke kama vile maambukizi ya fangasi yanaweza kusababisha
maumivu wakati wa kujamiiana.
Endometriosis: Hii ni hali ambayo
inasababisha tishu za mji wa mimba kukua nje ya mfuko wa uzazi, hivyo
kuchochea maumivu wakati wa kukutana kimwili. Matatizo ya Ovari:
Matatizo haya ni pamoja na uvimbe kwenye mfuko wa mayai Ovarian Cyst
Wanawake waliokoma kupata hedhi,
Menapause, maumbile yao yanasinyaa na kuwa makavu, hivyo kuchochea
maumivu wakati wa tendo la ndoa
Magonjwa ya zinaa: Magonjwa ya zinaa kama malengelenge Herpes, masundosundo n.k, yanaweza kusababisha maumivu wakati wa ngono.
Tiba: Ili kujua tiba ni lazima uende kuonana na daktari ambaye atakupima na kugundua tatizo kisha atakupa dawa stahiki.
source: GLOBAL PUBLISHER
1 Comments
JINSI NIFUNA KUFANYA MAFUNZO YA JUMU NA DR SAGBO DIBA.
ReplyDeleteNiliahidi dr Sagbo Diba kwamba nitashiriki ushuhuda huu kwenye mtandao.
Nilikuwa na dalili za STD lakini sikuwa na uhakika pia ni moja. Nilikwenda baadaye
kuona muuguzi. Aliangalia sehemu zangu za siri na kwanza akasema kuwa
inaweza tu kuwa mkali, alikimbilia mtihani kisha akasema inaonekana kama kizazi
Vurugu na kwamba NIWE NA HABARI. Ilikuwa imethibitisha HERPES baadaye
mimi dawa kwa Herpes na baadhi cream kwa Warts. Bado
hakuwa na kazi, nilikuwa na huzuni, wazo kwamba mimi sikuwa na kuwa vizuri
Tena. Nilitembelea Hospitali Zote Zinazozidi Hali Yangu Haijawahi Kuwa Bora I
Iliamua Kutakiwa, Kwa hiyo Siku moja Mimi Browse Internet na Mimi Saw
ushahidi wa Davao Atkins mmoja juu ya jinsi Dr Sagbo Diba alivyomponya yeye na wake
Mke wa Matumbo ya Genital ya Simplex akiwa na siku 20, nilifikiri juu yake
wiki kadhaa hivyo niliamua kuipa jaribio hivyo nilitumia mawasiliano yake na kuandika
yeye kwenye Anwani ya barua pepe. Nilimwambia Dr Sagbo kuhusu matatizo yangu ya afya na
alithibitisha kuhusu tiba. Aliandaa dawa zake za mitishamba na akazituma
mimi. Nililichukua kwa siku 20. Kabla ya kukamilika kwa siku 20 ambayo
Nilitumia dawa, Blisters na Warts kwenye mwili wangu ilikuwa imefungua
kwa siku 14 tu, kabla ya siku 20 iliondolewa kabisa. nilikuwa
nafurahi sana, nikarudi kwa ajili ya kuangalia na niliambiwa nina huru kutoka
virusi kabisa. Sasa mimi ni sawa kabisa. Tafadhali ikiwa unasumbuliwa
ugonjwa wowote na sugu kama VVU / UKIMWI, CANCER, HERPES, DIABITIES,
ODOR MOUTH, UKIMWI MANGO / ITCHING, HEPATITI YA KRONI, WARTA WA KATIKA,
PILEPSY, CANCER / CYST, MFUO, KIDNEY NA KUTAWA KWA MUNGU, TUMOR
na wengi zaidi aliniambia kuwa anawaponya wote, tafadhali wasiliana naye mara moja
kwa maelezo yake nimepata.
EMAIL ADDRESS = drsagbo6088@gmail.com
WHATSAPP = +2347019642881 ..