Habari

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Advertise with us here

PICHA: MUONEKANO WA BAADHI YA MITAA YA ZANZIBAR KIPINDI HIKI CHA MVUA


Zanzibar ni moja kati ya sehemu nzuri na yenye vivutio vingi vya utalii na pia ni sehemu nzuri yenye amani na usalama na ndio maana watu kutoka sehemu mbali mbali hupenda kuja kutembea zanzibar ili kujionea hali halisi ya visiwa vya zanzibar. 

Kama tunavojua tuko katika kipindi cha msimu wa mvua hivyo baadhi ya maeneo ya zanzibar huwa hayapitiki kutokana na hali hiyo ya mvua kwa sababu huwa na maji mengi na pia shuhuli za kijamii husimama kwa muda. 

Hizi ni baadhi ya picha zikionesha hali ilivo katika baadhi ya mitaa ya Zanzibar katika kipindi hiki cha mvua.





 






















Ukishasoma na kuangalia picha jinsi hali inavokua kwa baadhi ya mitaa ya zanzibar kipindi cha mvua, usiache kutoa maoni yako au kutwambia hali inakuaje huko ulipo wewe kipindi cha mvua?

Post a Comment

0 Comments

Youtube Channel Image
Hajiizo Subscribe To watch more
Subscribe