appendicitis ni nini?
ni mashambulizi au maradhi yanayotokana na kuugua kwa kidole tumbo, kidole tumbo ni eneo ambalo linapatikana kwenye utumbo mkubwa wa binadamu upande wa kulia kwa chini.
kidole tumbo au appendicitis ni ugonjwa ambao ni hatari sana na unahitaji matibabu ya haraka kabla mtu hajapoteza maisha.
nini kinasababisha ugonjwa wa kidole tumbo?
kidole tumbo husababishwa na vitu vifuatavyo.
matibabu;
matibabu pekee ya kidole tumbo ni upasuaji wa haraka na kukiondoa, huduma hizi hutolewa kwenye hospitali zote za wilaya nchini tanzania.
ni mashambulizi au maradhi yanayotokana na kuugua kwa kidole tumbo, kidole tumbo ni eneo ambalo linapatikana kwenye utumbo mkubwa wa binadamu upande wa kulia kwa chini.
kidole tumbo au appendicitis ni ugonjwa ambao ni hatari sana na unahitaji matibabu ya haraka kabla mtu hajapoteza maisha.
nini kinasababisha ugonjwa wa kidole tumbo?
kidole tumbo husababishwa na vitu vifuatavyo.
- minyoo kuingia ndani ya kidole tumbo
- vitu vya nje ya mwili kama mchanga.
- kinyesi kujaa na kuingia hapo
- kuvimba kwa tezi za tumboni.
dalili za ugonjwa huu ni zipi?
- maumivu makali ya tumbo yanayoanzia kwenye tumbo la chini kushoto kwenda kwenye kitovu.
- maumivu makali ya tumbo kwa kuligusa.
- maumivu makali ya tumbo la chini kulia wakati wa kukohoa.
- homa kali
- kichefuchefu na kutapika.
dalili muhimu.
rovsing sign; ukikandamiza upande wa kushoto chini, maumivu yanahamia upande wa tumbo chini kushoto
psoas sign; mgonjwa atakutwa amelala huku amekunja mguu wa kulia na akiuunyosha anasikia maumivu.
obtrurator sign; ukiuchukua mguu wa kuume wa mgonjwa na kuukunja na kuuzungusha kwa ndani unasikia maumivu.
vipimo vinavyofanyika
- kipimo cha picha ya utrasound ni muhimu sana kwani kitaonyesha kidole tumbo chenye tatizo.
- kipimo cha damu cha full blood picture kitaonyesha kuongezeka sana kwa chembechembe nyeupe za damu.
matibabu;
matibabu pekee ya kidole tumbo ni upasuaji wa haraka na kukiondoa, huduma hizi hutolewa kwenye hospitali zote za wilaya nchini tanzania.
SOURCE: SIRI ZA AFYA BORA
11 Comments
dr.mim nina zaid ya miaka mitatu sijafaham hasa naumw nn yan nina kchefu chefu mda wote pia huwa mda mwngne natapka nkiwa nakla had nakosa ham ya kula nlshafnya sana vpmo pasina kufaham suluhisho
ReplyDeletePole, sana ndugu yangu kwa yalokukuta. Je, katika hivi vipimo uliambiwaje? kuna majibu yyt ulipewa au uliambiwa hauna tatizo?
ReplyDeleteHabari doctor mimi nina siku ya tatu nasikia maumivu usawa wa kitovu upande wa kulia chini ya mbavu lakini sina kichefu chefu wala sitapiki je yaweza kuwa ni hicho kidole tatizo??
DeleteUpole bro
DeleteMi na sumbuliwa na tumbo linaunguruma sana na muda mwingine linaniuma nilipima kipimo cha endoscopic nikaambiwa Nina michubuko nimekunywa dawa Ila bado
ReplyDeletePole sana, km ni michubuko endelea kutumia dawa ila kma tatizo bado lipo acha kutumia dawa hzio nenda katufute dawa nyengine. wakati mwengine dawa za michubuko huengeza tatiz badala ya kupunguza. Fika kituo cha afya waalezea hali ilivokua km pana uwezekano wakubadilishie dawa ikishindikana jaribu dawa za asili maana wengine hufanikiwa kwa njia hii ya asili.
DeleteTumbo linasumbua Mara kwa Mara toka limeanza kuumwa nimehalisha Mara mbili tu pia kuna kama dalili za homa zinajitokeza ila Leo naskia muungurumo kwa mbali pia ndo tumbo linauma hili tatizo nimemueleza anaeuza dawa akanipatia frajil tu
ReplyDeleteMm naumwa tumbo upande wa kushoto na hasa ninapokuwa nina haja kubwa au ndogo mpaka nitakapokwenda kuitoa ndo nitapata nafuu halafu nikilala na tumbo nikiamka napata maumivu makali kwenye nyama za tumbo halafu tumbo limejaa sana gesi
ReplyDeletePole sana, kwa ushauri wa haraka nenda kituo cha afya cha karibu ili kupata ushauri zaid
ReplyDeleteDr. Samahan naomba ushauli yaan nna mwez mmoja sasa tumbo upande wakulia kwa chin yaan panauma hasa nikibonyeza Kama Kuna kdondo na hasa wakat wa usku kunakua nakitu Kama kinachomachoma kwa chin upande wakulia nikibonyeza nahs Kama Kuna maumivu Ila mchana hasa nikisimama nahs sawa tuu Ila nikilala au nikikaa ndo nahs Kama panachomachoma samahan naomba nishaul kwa watsap namba 0629890117
ReplyDeleteMatatizo ya tumbo & matatizo ya uzazi & ugumba & maumivu ya tumbo mara kwa mara & kidole tumbo &appendix wasiliana na dr 0676039091 tanga
ReplyDelete