Habari

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Advertise with us here

bondia afariki baada ya pambano kumalizika..

 
Bondia Davey Browne ambaye ni raia wa Australia amepoteza maisha siku nne baada ya kupoteza fahamu kufuatia kipigo cha ‘knock out’ katika pambano la ngumi huko Sidney.

Mwanamasumbwi huyo mwenye miaka 28 alidondoka chini baada ya kupigwa na mpinzani wake Carlo Magali wa Ufilipino katika raundi ya 12 katika uzani wa super-featherweight ijumaa iliyopita.
Baada ya kupoteza fahamu alipelekwa hospitali katika chumba cha wagonjwa mahututi hadi mauti ilipomkuta.

SOURCE: millardayo.com

Post a Comment

0 Comments

Youtube Channel Image
Hajiizo Subscribe To watch more
Subscribe