Habari

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Advertise with us here

Namna Ya kutumia Whatsapp mbili kwenye simu moja - How to use 2 whatsapp numbers in Single Phone

Kila siku zikienda Technolojia inazidi kukua na watumiaji wanaongezeka. Kulikua na aina nyingi za Apps ambazo zilikua zinamuwezesha mtumiaji kuweza kutumia Whatsapp mbili kwenye simu moja. Kulikua na OGWhatsapp ila kwa sasa imepitwa na wakati.

App mpya inayojilikana kwa jina la Parallel Space inakuwezesha mtumiaji kuweza kutumia whatsap mbili kwenye simu yako moja, hii inahusisha karibia social media zote. Kama una namba mbili na unataka zote kutumia whatsapp basi ni rahisi sana au kama una account mbili za facebook au twitter Parallel Space inakupa nafasi ya kutumia account zako kwa wakati mmoja ndani ya simu yako.

Jinsi ya Kutumia Parallel Space:

- Download whatsapp au facebook yako kama kawaida kwenye simu yako.

- Download application ya Parallel Space kwenye simu yako.

- Fanya installation ya Parallel Space kwenye simu yako. Baada ya kuinstall itakuonesha apps zilizokuwemo ndani yake kama vile whatsapp, facebook, twitter na instagram. Apps zote utakazozikuta ndani ya Parallel Space ni mpya kwako na wala hazifuti account zako za mwanzo kwenye simu yako. kilichobaki ni kulogin kwenye hizo account mpya kwa kutumia account yako nyengine.



Parallel Space-Multi Accounts
Login to multiple social networking or gaming accounts at the same time
• Balance your life and work easily.• Double your gaming experience and have more fun.• Almost all apps are supported.
Hide your favorite apps, invisible on your phone• Enjoy your favorite apps without worrying about caught by your friends and colleagues.
Highlights:• Powerful and stable, while easy to use.• Unique: Parallel Space is based on MultiDroid, the first application virtualization engine on Android.
Notes:• Permissions: the permissions required by Parallel Space are applied by all the apps running inside. For example, if the location permission is rejected,then you can’t send your location to your friends from some apps in Parallel Space.• Memory, battery and network traffic consumed by Parallel Space are used by the various apps running inside of it. You can check them in Storage or Task Manager in Control Center in Parallel Space.• Please add Parallel Space to white list or exceptional list in booster apps to allow social networking apps receive messages in time.• There are supposed to be a different phone number from the main account while trying to login some particular apps in Parallel Space for the first time, and it should be available to get a verification code. Please note that two accounts of the same phone number can’t be online at the same time.

Kupata App yako ya Paralle Space DOWNLOAD HAPA au nenda kwenye Play store yako search Parallel Space na install 
Download and install Parallel Space here. DOWNLOAD HERE or go to play store seach for Prallel Space. 

Post a Comment

1 Comments

Youtube Channel Image
Hajiizo Subscribe To watch more
Subscribe