Najua malengo na matamanio ya kila mmoja wenu ni kuwa na mwanaume mwaminifu mwenye hekima, busara na mwenye mapenzi ya kweli
Lakini naomba nikwambie na nikuhakikishie kwamba kamwe huwezi kumpata
mwanaume mwenye vigezo hivyo kwa ku-post picha zako za nusu uchi kwenye
mitandao ya kijamii(fecebook, instagram etc)
Ukweli usiopingika ni kwamba hizo picha zako za nusu uchi zitakachokusaidia ni kitu kimoja tu: kupata LIKES 99 na COMMENTS 120 ambapo zote hizo zitakuwa zimetokan na vijana wadogo wale malimbukeni wa mapenzi na watu wazima wasio jitambua (mafataki)
Wata-comment kwa kukuita majina mazuri mazuri na maneno kama vile "You are beautiful, umetokelezea bibie, You are a heaven sent angel, njoo inbox tuchart, I wish to have you, nipe namba yako mrembo, You are so sweet, I love
you, mara mwingine ataandika No. yangu 07551005.. njoo whatsApp
na mengine mengi.
Utavimba kichwa nakujiona kama unapendwa kwa comments zao na uwingi wa mssg inbox lkn pamoja na yote hayo hakuna hata mmoja ambaye atakuwa na malengo ya kweli ya kukufanya uwe mkewe
They would only be lusting after you.
Amini usiamini hakuna mwanaume anayehitaji kuwa na mwanamke asiyeheshimu mwili wake na kuuanika hadharani eti kila mtu aone
Ukiishi kwa kufuata maadili kwa hakika utampata mwanaume wenye hekima, mcha Mungu na wenye mapenzi ya kweli lakini tofauti na hivyo mawazo yako ya kumpata mume mwema yatabaki kuwa ndoto tena ndoto za mchana kweupeeee!.
Huwezi kumpata mume mwema ilihali mwenyewe huna maadili ya kuwa mke mwema!!
Acha kuyaanika maungo yako kwenye mitandao ya kijamii
Heshimu, tunza na uusitiri vema mwili wako kwaajiki ya mumeo au mume mtarajiwa.
Tupo pamoja??
#HeargyDaBest

0 Comments