Habari

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Advertise with us here

NAFASI ZA KAZI WIZARA YA AFYA ZANZIBAR

 Image result for nafasi za kazi zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Afya kama ifuatavyo:-

1. Fundi Sanifu Maabara Daraja la III “Nafasi 10” – Unguja na “Nafasi 1” - Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Maabara (Lab Techinician) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2. Administration and Operation “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Ushauri Nasaha ‘Counciling and Psychology’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

3a) Muhandisi Vifaa Tiba Daraja la I “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe na elimu ya Shahada ya Pili katika fani ya Uhandisi Vifaa Tiba (Biomedical Engineering) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

b) Muhandisi Vifaa Tiba Daraja la II “Nafasi 4”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhandisi Vifaa Tiba (Biomedical Engineering) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

c) Oxygen Operator “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe na elimu ya Form IV na awe amefaulu Somo la Biology na Chemistry.

d) Afisa Lishe Daraja la II “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Lishe ya Binaadamu (Human Nutrition) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.



4. Afisa Mionzi Daraja la II “Nafasi 10”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Mionzi (Rediographer) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

5. Fundi Sanifu Madawa Daraja la III “Nafasi 15” – Unguja na “Nafasi 2” - Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Fundi Sanifu Madawa (Pharmacy Technician) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

6. Wauguzi (Nurse) Daraja la III “Nafasi 120” – Unguja na “Nafasi 12” - Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Uuguzi (Nurse) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

7. Afisa Habari na Mawasiliano daraja la II “Nafasi 4”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Habari na Mawasiliano (ICT) au (Computer Science) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

8. Afisa Tabibu Meno Daraja la III “Nafasi 5” – Unguja na “Nafasi 1” - Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Utabibu wa Meno kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

9. Afisa Afya Mazingira Daraja la III “Nafasi 5” – Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Afya na Mazingira kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

10. Afisa Tabibu Daraja la III “Nafasi 4” – Unguja na “Nafasi 2” - Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Utabibu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.


11. Afisa Ustawi wa Jamii Daraja la II “Nafasi 1” – Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Ustawi wa Jamii kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

12. Afisa Ustawi wa Jamii Msaidizi Daraja la III “Nafasi 3” – Unguja na “Nafasi 2” - Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Ustawi wa Jamii kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Jinsi ya Kuomba:
• Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.

• Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba.

Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:-
a) Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo
b) Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
c) Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
d) Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
e) Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
f) Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 23 Mei, 2017 wakati wa saa za kazi.

Tangazo hili pia linapatikana hapa www.lps.go.tz

Post a Comment

0 Comments

Youtube Channel Image
Hajiizo Subscribe To watch more
Subscribe