Jinsi halivo katika baadhi ya maeneo ya zanzibar. Hili ni eneo la
Mwanakwerekwe ambapo maji yamevuka upande wa pili wakati mvua ikiwa
inaendelea kunyesha. Kwa sasa usafiri umekua tabu na usumbufu kwa
watembea kwa miguu.
Hii ni hali ya kawaida kutokea km hivi katika eneo
hili la Mwanakwerekwe maarufu Jaani au Jaa kubwa, ni sehemu ambayo maji
huwa yanakaa katika kipindi cha mvua na baadae hukauka. #NewsUpdate
0 Comments