Habari

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Advertise with us here

HUU NI MWENDELEZO WA MAMBO YA KUSTAAJABISHA ZAIDI KUTOKA NCHINI KOREA KASKAZINI



1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug.

2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa amabayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani.

3. Wakati dunia nzima leo ni 2017 kwao ni mwaka 106 wakihesabu kuanzia kifo cha kiongozi wao Kim il-Sung.

4. Kuanzia 2009 nchi hii sio ya kikomunist tena, wana msimamo au IDEOLOGY yaoo mpya unaitwa " JUCHE" wakimaanisha "KUJITEGEMEA".

5. Ndio nchi yenye uwanja mkubwa wa mpira kuliko nchi yoyote duniani, unabeba watu 150,000.

6. Miaka ya 50, walijenga mji fake (nice city) mpakani ili kuwavutia watu wahamie kutoka south korea.

7. Kwa miaka 60 iliyopita ni wakorea kaskazini 23,000 waliokimbilia Korea Kusini wakati ni wakorea kusini wawili tu ndio wamerudi korea kaskazini.

8. Wakati dunia nzima inatumia OS za Windows,LINUX au MAC OS etc , wao wanatumia ya kwao inaitwa STAR OS.

9. Kumiliki bibilia, Kuangalia Movie au tamthilia za Korea kusini na kusambaza picha za ngono adhabu ni kifo ukibainika.

10. Ni kinyume cha sheria kuvaa jeans korea Kaskazini.

11. Kuna Shirika Linalotumia parachuti kuzipeleka BIBILIA nchini humo wakiomba angalau ziangukie kwa mmoja aelewe neno.

12. Kulingana na vitabu vya nchi hiyo Kiongozi wao Kim Jong Un alijifunza kuendesha gari akiwa na miaka 3.

13. kama umezaliwa tarehe 8 july au tarehe 17 december Huruhusiwi kusherekea Birthday maana ni siku ambazo viongozi wao Kim Jong Il na Kim Il song walikufa.

14. Wanamiliki kikosi maalumu cha wanajeshi wanaakili sana/geneus kama jeshi la kimtandao,Special cyber hackers, Unit 121 au Beaureu 121. Na inasemekana wametuma baadhi yao zaidi ya askari hao 1200 nchi mbalimbali kwa mashambulizi au cyber war. Ndio waliohusika katika Shambulizi la Kampuni ya SONY Kulingana na vyombo vya magharibi.

15. Hawajui Kiingereza kama sisi Waafrika (weusi), sisi tunajua Kiingereza kuwashinda Wakorea lakini wameendelea kutuzidi katika kila nyanja ingawaje wamewekewa vikwazo vya kiuchumi na karibu Dunia nzima, hawana magonjwa kama Ebola, UKIMWI, Malaria.

16. Hakuna Mkorea mwenye jina la kizungu kama sisi Waafrika huku kwetu tunajiita Julius, George, Ahmad, Husein, John lakini bado tunadharauriwa na Wazungu na Waarabu kuliko binadamu yoyote yule Duniani!.

17. Mkorea Kaskazini kama tulivyoainisha hapo juu kuwa haongei Kingereza kabisa lakini bado ametengeneza software yake yeye mwenyewe yaani hatumii windows, hivi sasa wametengeneza smart phone yao isiyotumia android yaani wamebuni software ya kwao. Lakini sisi kutwa nzima tunashindana kuongea Kiingereza watanzania tunagharimika kabisa mpaka tunalipa ada milioni 10 shule ya msingi ili mtoto tu ajue kuongea Kiingereza.

Source: #HabariForums

Post a Comment

0 Comments

Youtube Channel Image
Hajiizo Subscribe To watch more
Subscribe