Habari

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Advertise with us here

Namna ya Kuomba Urafiki kwenye Facebook Bilo kikomo (5000+)

Facebook ni moja kati ya Mitandao ya kijamii inayotumiwa sana duniani. Watu wanatumia mtandao huu kwa kuwasiliana na ndugu, marafiki na jamaa waliopo sehemu mbali mbali katika dunia.
Image result for facebook add friend button
Kama tunavojua Facebook inakupa kikomo cha kuwa na urafiki na mtu mwengine pale idadi ya marafiki zako katika mtando wa Facebook unapofikia watu elfu tano (5000). Unapokuwa na idadi ya marafiki wa kiwango hiki unakuwa huwezi kuengeza au kutuma ombi la  urafiki kwa mtu mwengine.

Leo nakupa ujanja/mbinu itakayokuwezesha kuengeza marafiki bila kikomo:-

Unachotakiwa kufanya kwa mtu ambae tayari ana kikomo au amefikisha marafiki elfu tano ni hivi:-

- INGIA KWENYE FACEBOOK ACCOUNT YAKO
- TAFUTA MTU/JINA LA UNAETAKA KUMUOMBA URAFIKI
- ZIMA KIPENGELE AU KITUFE CHA KURUHUSU INTERNET
- RUDI KATIKA ACCOUNT YAKO, BONYEZA Add Friend ILI KUTUMA MAOMBI KWA MUHISIKA.

Baada ya hapo utakua tayari umemtumia ombi la urafiki huyo muhusika. Jaribu ili uone Technolojia inavofanya kazi.


Post a Comment

0 Comments

Youtube Channel Image
Hajiizo Subscribe To watch more
Subscribe