Habari

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Advertise with us here

Picha za Boti ya KILIMANJARO V ilivyoshushwa kwenye maji Zanzibar

Usafiri wa Boti ndio kiungo muhimu cha Dar na Zanzibar, watu wengi wanautegemea usafiri huu mtu wangu.. Good news kwa wasafiri wote DAR-ZANZIBAR !!
Boti nyingine tayari imeshushwa kwenye maji Zanzibar na time yoyote itaanza safari kati ya Dar na Zanzibar, ninazo pichaz zikionesha Boti hiyo ilivyoshushwa toka Australia.



Post a Comment

0 Comments

Youtube Channel Image
Hajiizo Subscribe To watch more
Subscribe