Habari

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Advertise with us here

Mtu mfupi kuliko wote afariki akiwa na umri wa miaka 75

Chandra 04.jpg 

mfupi kuliko wote duniani afariki akiwa na umri wa miaka 75 akiwa hospitali

Raia wa Nepal anaefahamika kwa jina la Chandra Bahadur Dangi ambae alivunja rikodi ya mtu mfupi kuliko watu duniani katika Guinness Wordl Recording za mwaka 2012.

Chandra amefariki katika hospitali ya Lyndon B. Johnson Tropical Medical Center inayopatikana Pago Pago katika kisiwa cha Samoa kilichoka chini ya mamlaka ya Marekani Kusini mwa bahari ya Pasifiki Ijumaa.

Chandra Dangi alikuwa na kimo cha sentimita 54,6 na uzito wa kila 12.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na daktari aliekuwa akisimamia matibabu ya Dangi, alifahamisha kuwa Dangi alifariki kutokana na maradhi monia yaliokuwa yakimsumbua. CLICK HERE IN MORE DETAILS


Post a Comment

0 Comments

Youtube Channel Image
Hajiizo Subscribe To watch more
Subscribe