Habari

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Advertise with us here

Samsung yazindua Smart Watch mpya aina ya Gear 2 itakayoleta upinzani kwa Apple Watch


 Smart Watch mpya kutoka kwa Samsung

Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na upinzani mkubwa kwenye sekta ya teknolojia kufuatia utengenezaji wa saa za Smart Watch kutoka kampuni mbalimbali.
Kampuni kubwa ya teknolojia ya Samsung kutoka Korea Kusini imezindua saa mpya ya Smart Watch aina ya Gear S2 yenye muundo wa duara.

Kwa mujibu wa maelezo ya kiufundi yaliyotolewa, Gear S2 inasemekana kuwa na skrini ya Super AMOLED ya ubora wa pikseli 360 x 360 , nafasi ya hifadhi ya 4GB pamoja na visimbuzi.
Gear S2 pia inaendeshwa kwa mfumo maalum wa 1.0 GHz, RAM ya 512 MB na ina muundo wa kuzuia saa kuingia maji na vumbi.

Post a Comment

0 Comments

Youtube Channel Image
Hajiizo Subscribe To watch more
Subscribe