Habari

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Advertise with us here

TIZAMA PICHA ZA UWANJA WA MPIRA ULIOKUEKO KWENYE MAJI

kutoka millardayo.com

Kama hukuwahi kubahatika kutembelea Singapore basi Marina Bay ni moja kati ya sehemu ambazo unapaswa kutembelea kama utafanikiwa kufika SingaporeMarina Bay ni uwanja wa mpira wa miguu ambao unaelea kwenye maji, yaani sehemu ya kuchezea inaelea ila majukwaa yapo nchi kavu.

JfmExkO

Marina Bay umejengwa kwa vyuma lakini unaelea na unatajwa kuwa na uzito wa tani  1,070 ambazo ni sawa na uzito wa watu 9000, upande wa jukwaa la mashabiki lina uwezo wa kubeba watu 30,000. Uwanja huo toka mwaka 2007 umekuwa ukitumika kwa shughuli mbalimbali kama mechi za soka, matamasha, maonyesho ya sanaa pamoja na sherehe za kitaifa zinazohusisha gwaride la askari jeshi na polisi.



Singapore's Marina Bay Floating Stadium


Singapore-pitch-ge_3314044b

 action5

Post a Comment

0 Comments

Youtube Channel Image
Hajiizo Subscribe To watch more
Subscribe