Habari

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Advertise with us here

Tumia whatsapp kwa OPERA MINI na Fira Fox kwenye PC yako

Mwanzoni ilikua ni ngumu kutumia whatsapp kwa kutumia fire fox au Opera. Ili kutumia whatsapp kwa desktop kipindi cha nyuma ilikua lazima utumie Google Chrome na ilikua ni ngumu kwa wateja wanaotumia opera kuweza kubrowse whatsapp kwenye PC zao. Sasa whatsapp wamekuja na hii ya kuwawezesha wateja wao kuweza kutumia whatsapp kwa kutumia fire fox na opera mini, hii ilithibitishwa na account ya twitter ya mtandao wa whatsapp baada ya kuandika hivi:-

   
Kupitia computer yako ya nyumbani sasa unaweza kutuma na kupokea message za whatsapp kwa kutumia browser yako ya fire fox au opera bila wasi wasi. Kabla hujaanza kutumia whatsapp web hakikisha umeaupgrade whatsapp yako kwenye latest version ili kuepuka usumbufu wa kuitumia. Ukimaliza kuaupgrade whatsapp yako itakua na muonekano kama huu hapa chini.

whatsapp web opera firefox browsers

Unaweza kuweka desktop notification on ili kuweza kujua kila message inapoingia kwenye PC yako na unaweza kubadilisha profile picha yako na mambo yote ambayo kama uliyokua unafanya kwenye simu yako. Whatsapp Web pia inafanyakazi kwenye simu za Windows Phone, BlackBerry na Android.


whatsapp web opera

Kwa maelezo zaidi tembelea website yao ya whatsapp >>> web.whatsapp.com OR whatsap.com

Post a Comment

0 Comments

Youtube Channel Image
Hajiizo Subscribe To watch more
Subscribe