Unapotazama wanawake, siku zote lazima kuna kitu kimevutia mpaka ukaamua kutoka nae kimapenzi. kitu ambacho ni tofauti na kwa mkeo. inaweza kuwa ni shape
, lips,sauti, macho, miguu etc.
Kama unafikiri utaendelea kutembea na kila mwanamke unaemhitaji, kamwe
hautoridhika kwa sababu kila mwanamke ana kitu chake ambacho ni
desirable.
Ni kama kwenda hotelini ambako kuna kila aina ya msosi na ukaamua kula misosi ya aina zote, utaishia kuvimbiwa na kuugulia maumivu ya tumbo.
Kamwe hauwezi ridhika na wine kisa umechanganya wine za aina zote, njia nzuri mbadala yakufurahia wine ni kunywa wine moja tu unayoipenda na kuifurahia milele.
Namaanisha nini?
Uaminifu ktk ndoa unategemea sana wewe mwanaume umejipangaje. Ni maamuzi yako mwenyewe kuwa mwaminifu kwa ajili ya mwanamke umpendae.
Ni jukumu lako mwenyewe kum-treat mwanamke wako kama malikia. Ufalme ambao una malikia zaidi ya mmoja lazima utagawanyika vipande viwili na badae kuanguka kabisa.
Kuwapenda wanawake milioni haionyeshi kuwa wewe ni mwanaume wa shoka, ila kumpenda mwanamke mmoja mara milioni inakufanya uonekane Gentleman uliolelewa na wazazi bora!
Miluzi mingi humpoteza mbwa, mwenda tezi na omo marejeo ngamani. Na mwanaume awaye yote asiidharau ndoa yake, kamwe hatoweza kuipata furaha ya maisha huko azurulako kama hata jenga upatanisho ktk ndoa yake.
"Again a rolling stone gathers no moss, and a man who keeps wandering from one women into another never finds true happiness in Life'
Jenga familia bora na yenye furaha brother, na Mungu atakujazi!

0 Comments