Habari

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Advertise with us here

Tarehe ya uzinduzi wa programu mpya ya Microsoft Office 2016 yavujishwa

Tovuti ya WinFuture.de imeripotiwa kuvujisha maelezo yaliyobainisha tarehe ya uzinduzi wa programu mpya ya Microsoft Office 2016.
 
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, programu mpya ya Microsoft Office 2016 inaarifiwa kwamba itazinduliwa rasmi tarehe 22 mwezi Septemba mwaka huu.
Maelezo zaidi yanaarifu kwamba kampuni ya Microsoft imewataka wafanyakazi wake kutumia programu hiyo kwa majaribio kabla ya Septemba 22, pamoja na kufanya maandalizi ya mauzo yake.
Hata hivyo, Microsoft bado haijatoa maelezo yoyote rasmi kuhusiana na madai hayo.

Post a Comment

0 Comments

Youtube Channel Image
Hajiizo Subscribe To watch more
Subscribe